November 12, 2015

 Aliyewahi kuwa daktari wa Chelsea, Eva Carneiro  amefunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi, Jason De Carteret.

Ndoa hiyo iemfungwa jana jijini London, England na gumzo kubwa lilikuwa ni je, Jose Mourinho alialikwa, ukweli ni kwamba, hakualikwa.

Eva mwenye umri wa miaka 42, anaishitaji Chelsea pamoja na Mourinho kutokana na kitendo cha yeye kusimamishwa kazi wakati hakuwa na kosa, badala yake alifanya kazi kiweledi kuingia uwanjani kumtibu Eden Hazard ambaye aliumia.

Wakati wa ndoa yake, Eva ambaye amekuwa gumzo tokea kuondoka kwake Chelsea, alionekana ni mwenye furaha kupindukia.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic