Timu ya The
Golden State Warriors imeweka rekodi ya kushinda mechi 16 za mwanzo wa msimu
kwa kuitwanga LA Lakers katika Ligi ya Mpira wa Kikapu Marekani maarufu kama
NBA.
Lakers
inayoongozwa na nyota Kobe Bryant imeshindwa kufua dafu dhidi ya Worriors
iliyoibuka na ushindi wa 111-77.
Stephen Curry
ndiye alikuwa mwiba kwa wachezaji wa Lakers akiwemo Kobe ambao walishindwa
kumdhibiti kabisa.
ANGALIA MAPICHA
YA ACTION.
0 COMMENTS:
Post a Comment