November 10, 2015


Kujaribu ni jambo jema katika maisha ya mwanadamu, lakini wakati mwingine inakuwa si sahihi.

Angalia Kocha David Moyes anavyohangaika sasa! Baada ya kutimuliwa Man United, alipata ajira Real Sociedad ya Hispania, nao wamemtimua.

Socieadad wameamua kumfuta kazi baada ya kipigo cha mabao 2-0 baada ya kuchapwa na timu iliyopanda ya Las Palmas.


Kipigo hicho kimeifanya Sociedad kusogea shimoni kabisa na inatakiwa kupambana kuepuka kuingia kwenye kundi la wanaotakiwa kuteremka daraja.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic