Kipa wa zamani wa Sunderland,
Marton Fulop amefariki akiwa na umri wa miaka 32.
Fulop amefariki kutokana
na ugonjwa wa kansa ambao ulimshambulia kwa muda mrefu.
Kipa huyo alizichezea
timu nane za Ligi Kuu england baada ya kujiunga na Tottenham akitokea MTK
Budapest mwaka 2004.
0 COMMENTS:
Post a Comment