Ingawa Real Madrid imeishafuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya mtoano, lakini imeonyesha haina safu nzuri ya ulinzi.
Mabao matatu kuanzia dakika ya 77 kutoka kwa Shakhtar yalifanya mechi iishe kwa ushindi wa 4-3 kwa Madrid, hata hivyo tayari imezua hofu kuhusiana na safu yake ya ulinzi.
Shakhtar Donetsk: Pyatov, Kobin, Ordets,
Rakitskiy, Azevedo (Bonfim 64), Marlos, Fred, Stepanenko, Bernard, Alex
Teixeira, Gladkiy (Dentinho 74)
Subs not used: Kanibolotskiy, Eduardo, Taison, Kryvtsov,
Kovalenko
Booked: Stepanenko
Goal: Teixeira 77 (p), 88,
Dentinho 83
Real Madrid: Casilla, Carvajal, Pepe,
Varane (Danilo 33), Nacho, Modric (Kroos 62), Casemiro, Kovacic, Bale (Benzema
71), Ronaldo, Isco
Subs not used: Navas, Kroos, Rodriguez, Lucas, Jese
Booked: Carvajal, Danilo
Goals: Ronaldo 18, 70, Modric
50, Carvajal 52
Referee: Bas Nijhuis
0 COMMENTS:
Post a Comment