November 14, 2015




Kocha Mkuu wa Tanzania, Charles Boniface Mkwasa ameanza na Elius Maguri katika kikosi chake kitakachoivaa Algeria.


Maguri ambaye ameitwa na Mkwasa kwa mara ya kwanza, alionyesha mchezo mzuri katika mechi ya kirafiki dhidi ya vijana chini ya miaka 22 wa  Afrika Kusini ambayo Stars ilipoteza kwa mabao 2-0.

Kuingia kwa Maguri, maana yake Mrisho Ngassa wa Free Stars Stars ya Afrika Kusini anaanzia benchi.

Katikati Mkwasa ameanza na Himid Mao na Mudathir, huku Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wakiwa sehemu ya uongozi wa mashambulizi hayo.


KIKOSI KAMILI HIKI HAPA:
Ally Barthez, Shomari Kapombe, Haji Mwinyi, Kelvin Yondani, Nadir Haroub, Himid Mao, Thomas Ulimwengu, Mudathir Yahya, Elius Maguli, Mbwana Samatta na Farid.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic