November 14, 2015


Taifa Stars leo ina kibarua kigumu dhidi ya Algeria, bado Kocha Mkuu Charles Boniface Mkwasa hajatangaza kikosi chake.



Lakini kwa jinsi nilivyoiona timu ikifanya mazoezi nchini Afrika Kusini na nilivyokaa nayo kambini kwa zaidi ya wiki moja. Ninaamini kikosi hiki ni bora zaidi. Lakini mwenye uamuzi wa mwisho anabaki kuwa Mkwasa na benchi lake la ufundi na tunapaswa kuwaamini. KILA LE KHERI STARS.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic