November 3, 2015


Chelsea inarudisha majeshi uwanjani leo kucheza mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Dynamo Kiev.


Pamoja na kutofanya vema, wachezaji wa Chelsea wameonekana kuwa na furaha kabisa na tayari kwa mchezo huo wa leo.

Kocha Mkuu, Jose Mourinho na memba wake wa benchi la ufundi nao wameonekana kuwa na furaha utafikiri hakuna tatizo.

Chelsea imekuwa ikiyumba katika mechi za Ligi Kuu england pamoja na michuano mingine yote hali ambayo imeanzisha hofu kwa Mourinho atatimuliwa.


Huenda mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, leo na ile ya Ligi Kuu England dhidi ya Stoke City, Jumamosi itakuwa ni sehemu ya mwisho wa uamuzi wa klabu ya Chelsea kubaki au kuachana na Mourinho.












0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic