Kati yao wawili, hakuna aliyekuwa na cheo cha urais au uwaziri mkuu.
Kila mmoja hapa alimnadi mwenzake, leo wote ni viongozi wakuu wa nchi.
Kikubwa, wanamichezo wamepata faraja kuona wamepata mwanamichezo ambaye ameteuliwa kuwa waziri mkuu.
Wengi wanaamini pamoja na majukumu mengi, Majaaliwa hataisahau michezo ambayo ni sekta kubwa na muhimu lakini imelala kwa kuwa imejaza wajanja kibao.
0 COMMENTS:
Post a Comment