November 10, 2015


Cristiano Ronaldo amefanya uzinduzi wa filamu yake ya  Ronaldo.


Uzinduzi umefanyika jijini London, England na kuhudhuriwa na wageni kibao ila Alex Ferguson ndiye alionekana kuwa mgeni aliyevutia zaidi.

Ronaldo alimkaribisha Ferguson kwa mashamsham ikiwa ni pamoja na kumkumbatia.

Kocha Jose Mourinho aliyewahi kuwa bosi wa Ronaldo pale Real Madrid pia alijitokeza.

Wachezaji mbalimbali pamoja na watangazaji walijitokeza uzinduzi huo wa filamu.

Ronaldo aliongozana na mama yake mzazi, maria Dolores pamoja na mtoto wake, Ronaldo Jr.


AKIWA NA FARGUSON..

...AKIMKUMBATIA.



FALCAO...

NEVILLE...

CARLO ANCELOTTI NA WAKALA WAKE

MOURINHO

MTANGAZAJI WA MICHEZO, HAYLEY MCQUEEN


AKIWA NA MWANAYE NA MAMA YAKE MZAZI..




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic