November 15, 2015


Kikosi cha Uganda kimekuwa kikosi cha kwanza kufuzu katika hatua ya makundi kuwania kucheza Kombe la Dunia kwa ukanda wa Afrika Mashariki.

Uganda maarufu kama The Cranes wameitwanga Togo kwa mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Mandela jijini Uganda, leo.

Hivyo kufanya isonge kwenye makundi kwa jumla ya mabao 4-0 kwa kuwa ikiwa ugenini mjini Lome ilishinda kwa bao 1-0.

Bado inaonekana nafasi ni ngumu kwa timu nyingine za ukanda wa Afrika Mashariki kama Tanzania, Kenya, Burundi, Rwanda, Ethiopia na Sudan bado hazina uhakika wa kuvuka.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic