Kocha Hans van der Pluijm wa Yanga ameonyesha bado wamo
aisee.
Wakati akiwanoa wachezaji wake alikuwa akiwaonyesha mambo
kadhaa ikiwemo namna ya kumliki mpira na kumhadaa adui kwa wakati mmoja.
Pamoja na kuonekana ni mtu mzima, lakini Pluijm raia wa
Uholanzi alifanya kazi yake kwa ufasaha na kuwavutia vijana wengi wakiwemo
wachezaji.
Mara kadhaa, wachezaji walionyesha kufurahishwa na kocha
huyo aliyewahi kuwa kipa wa timu ya taifa ya Uholanzi namna alivyokuwa
akiutuliza mpira na kugeuka nao. ANGALIA PICHA.
0 COMMENTS:
Post a Comment