December 29, 2015



Kipa mkongwe wa Yanga, Ally Mustapha ‘Barthez; yuko fiti asilimia mia.

Barthez ameendelea na mazoezi leo kwenye Uwanja wa Boko Veterani pamoja na kikosi cha Yanga.

Kipa huyo amekuwa akikaa benchi lakini bado amekuwa akisumbuliwa na maumivu madogomadogo.


“Sasa niko fiti kabisa, hata yale maumivu madogomadogo yameyeyuka,” alisema wakati Yanga ikiendelea kujifua.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic