Mshambuliaji wa zamani wa Man United na Man City, Carlos Tevez ameamua kwenda sake nchini Uruguay ili kujipumisha.
Tevez ambaye ni tegemeo la Boca Junior ameungana na mkewe Vanesa pamoja na watoto wake kula raha katika ufukwe maarufu wa Punta del Este.
0 COMMENTS:
Post a Comment