GUUS HIDINK ATUA LONDON KUCHUKUA NAFASI YA MOURINHO KOCHA GUUS HIDINK RAIA WA UHOLANZI AMETUA JIJINI LONDON TAYARI KUCHUKUA NAFASI YA JOSE MOURINHO AMBAYE AMETIMULIWA KAZI. TAARIFA ZINASEMA, HIDINK AMBAYE NI RAFIKI YA ROMAN ABRAMOVICH ATAKUWA KOCHA WA MUDA WA CHELSEA.
0 COMMENTS:
Post a Comment