Lionel Messi amefunga bao moja kati ya matatu katika mechi ya fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia.
Barcelona imefunga River Plate kwa mabao 3-0 na kubeba ubingwa huo. Mabeki wa River walifanya kila juhudi kumkaba lakini angalia alivyofunga bao hilo mbele ya watu wote hao.
Habari zako ni nzuri sana jembe
ReplyDelete