December 3, 2015


Kiungo Mtanzania anayekipiga KRA ya Kenya amesema anakerwa na kodi kubwa anayokatwa.


KRA ni timu ya Mamlaka ya Mapato Kenya ambayo ilimaliza ligi ikiwa katika nafasi ya nane.

Naftali aliyewahi kukipiga Simba amesema kodi imekuwa kubwa snaa.

“Kodi ni kubwa kwa kweli, jambo ambalo linatuumiza sana wachezaji wa kigeni hapa Kenya. Wakati mwingine nimeanza kufikiria kuondoka zangu na kujiunga na timu nyingine,” alisema Naftali.

Naftali alikuwa tegemeo katika safu ya kiungo cha ukabaji katika kikosi cha KRA.

Aliichezea mechi 24 kati ya 30 ambazo timu hiyo ilicheza. Allifanikiwa kufunga mabao mawili huku akiwa mmoja ya waliotoa pasi za kufunga.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic