December 3, 2015


Divok Origi, raia wa Ubelgiji mwenye asili ya Kenya amepiga bao tatu au hat trick wakati Liverpool ikiintwanga Southampton na kutinga nusu fainali ya Capital One.

Katika mechi hiyo, Liverpool imeshinda kwa mabao 6-1 dhidi ya Southampton. Daniel Sturridge naye amepiga mbili katika mechi hiyo huku Ibe aliyeingia kuchukua nafasi yake, naye akitupia moja.


Southampton: Stekelenburg 4, Soares 5 (Ward-Prowse 63, 6), Caulker 3, Van Dijk 5, Bertrand 5.5, Clasie 5.5 (Long 63, 6), Wanyama 5, Tadic 5, Mane 6, Steven Davis 6 (Romeu 77, 6), Pelle 4
Subs not used: Yoshida, Martina, Juanmi, Gazzaniga
Goal: Mane 1
Liverpool: Bogdan 7, Randall 7, Skrtel 7, Lovren 7, Moreno 7 (Smith 77, 7), Can 7.5, Lucas 7, Allen 7 (Henderson 74, 6), Lallana 8, Sturridge 8.5 (Ibe 59, 7), Origi 7.5
Subs not used: Milner, Benteke, Firmino, Mignolet
Booked: Randall, Can
Goals: Sturridge 25, 29, Origi 45, 68, 86, Ibe 73
Attendance: 31,592
Referee: Robert Madley 7.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic