Kiungo nyota wa zamani wa Simba, Shekhan Rashid ameonyesha mapenzi yake kupitia Utanzania baada ya kumpa moyo na kumuombea dua mshambuliaji wa TP Mazembe, Thomas Ulimwengu.
Shekhan ametupia picha mtandaoni akiwa amevaa jezi ya TP MAzembe namba 28 ambayo huvaliwa na Ulimwengu na kuandika maneno haya:
“Soon mwanangu ntakuona ukifuata nyayo za samata.. Ulipotoka na hapa ulipofikia mungu mkubwa sana keep it up mwanangu Thomas Ulimwengu.”
Kabla ya Ulimwengu kutua Mazembe, alikuwa akikipiga AFC ya Sweden na kati ya watu wake wa karibu alikuwa ni Shekhan.
0 COMMENTS:
Post a Comment