December 10, 2015



Mshambuliaji wa Man City Raheem Sterling ameonyesha chaguo linaweza kuzidi uwezo wa fedha.

Kwani pamoja na kulipwa pauni 180,000 lakini amekuwa akitembelea gari lenye thamani ya kawaida.


Sterling, ameonekana akiendesha gari aina ya The Smart Fortwo Grandstyle Edition Auto lenye thamani ya pauni 12,00 tu ambao ni chini ya mshahara wake wa wiki moja.

Hata hivyo, mwanasoka huyo kinda aliyejiunga na Man City akitokea Liverpool anamiliki magari ya kifahariaina Mercedes na Range Rovers.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic