January 27, 2016



Frank Bruno amerejea ulingoni, safari hii akifanya mazoezi tu na kuonekana yuko fiti licha ya kuwa na miaka 54.

Bondia huyo Mwingereza alilazimika kustaafu baada ya kudundwa na Mike Tyson katika miaka ya 1990.

Baada ya halo, rasmi aliachana na ngumi na ilielezwa jicho lake mona lilipatwa na matatizo katakana na ukali wa ngumi za Tyson.

Lakini sass Bruno anajifua vilivyo na mstaafu mwenzake, Rick Hatton ambaye sass anaonekana bonge.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic