January 26, 2016


Watu wanaijali kazi yao aisee, angalia mshambuliaji wa Man City, Bonny Wilfred anavyojifua.

Muda mchache tu wa mapumziko ameamua kuajiri mwalimu maalum ili kumpandisha kiwango chake uwanjani.

Anajua kinachotakiwa ni ushindi, mashabiki wanahitaji mabao na ndiyo furaha yao. 


Jiulize, wachezaji wetu wa hapa nyumbani, kweli wanajua mashabiki wanataka furaha hiyo?

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic