January 26, 2016


 Kipa wa Simba, Peter Manyika, safari hii anaonekana amechoka na maneno yasiyo na msingi, ameamua kumuweka hadharani “shemeji yenu”.

Kipa huyo kinda alijitokeza na mchumba wake kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, kwa pamoja wakaishuhudia Yanga ikipambana na Friends Rangers katika michuano ya Kombe la FA linalodhaminiwa na Azam Sports.

Kama hukuwahi kumuona, huyu ndiye shemeji yako….ila punguza maneno. Hehehe.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic