January 7, 2016


Kipa Petr ameonyesha yeye ni mtu simpo asiyependa matatizo baada ya kuapnda treni akiwa na wananchi wengine wa jiji la London waliokuwa wakirejea makwao baada ya kazi za simu nzima.

Kipa huyo mkongwe wa Arsenal, naye alijumuika na watu wengine ingawa safari hii hakuwa na kifaa maalum kwa ajili ya kuvaa kichwani anapokuwa uwanjani.

Akiwa amevaa miwani, lakini mashabiki waliweza kumjua na kushangazwa kwa kuwa walitarajia kumuona kipa huyo akiendesha gari la kifahari kutokana na fedha nyingi anazoingiza.


Kwa sasa kipa huyo yuko mapumzikoni baada ya kikosi cha Arsenal kupewa mapumziko kabla ya kurejea tena mazoezini.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic