Mshambuliaji Radamel Falcao ana imani kubwa ya kurejea kwa kasi na kuisaidia Chelsea ambayo inasuasua Ligi Kuu England.
Baada ya kuwa majeruhi tokea Oktoba, mwaka jana hajarejea uwanjani.
Lakini alishindwa kufanya vizuri hata alipokuwa mzima bado alionekana hakuwa vizuri.
Mshambuliaji huyo mwenye miaka 29, alicheza mechi 11 na kufunga boa mona tu hali ambayo ilizuia mzozo kwamba anakula fedha ya bure akitokea Man United na kujiunga na Chelsea.
0 COMMENTS:
Post a Comment