January 7, 2016



Kila mfalme ana zame zake. Je, unazikumbuka zama za mkali Lenox Lewix, bondia aliyekuwa akitoa vipigo kwa kila mmoja hadi alipokutana na Mike Tyson na kumtwanga na kumaliza kabisa ufalme wake.

Lewis alishinda mechi 41, kati ya hizo KO zilikuwa 32, alitoka sare 1 na kupoteza 2 katika muda wake wote wa ngumi za kulipwa.

Bondia huyo Mwingereza sasa amehamia nchini Jamaica ambako anaishi maisha yake saaafi, tena katika jumba kweli la kifahari ambalo lina mvuto wa aina yake.

Jarida la Hoss lilifanya ziara nyumbani kwake na yeye akapata nafasi ya kuonyesha sehemu mbalimbali ndani ya jumba hilo. Pia nawe unaweza kutembelea kupitia picha.



BWAWA LA KUOGELEA

SEHEMU YA CHAKULA

JIKONI

GYM

LANGO LA KUINGILIA UPANDE MMOJA WA NYUMBA

SEHEMU YA KUPUMZIKIA

MAKTABA NDOGO...

SEHEMU YA JUMBA DOGO LA SINEMA 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic