January 25, 2016


Kocha wa Friends Rangers, Herry Mzozo ambayo timu yake ilikubali kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa Yanga katika mechi ya Kombe la FA, alionyesha soka ni upendo baada ya kumfuata kocha wa Yanga, Hans van der Pluijm.


Mzozo alimfuata Pluijm aliyekuwa akitembelea gongo na kumpa pole, wakazungumza mawili matatu kabla ya kila mmoja kuchukua hamsini zake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic