Biku Kotecha ni mdau hasa wa soka nchini, ukimsikia anatoa maoni yake kwenye vyombo vya habari usidhani mpira ameubahatisha.
Lakini Mwinyi Kazimoto, ni mwanasoka hasa, hajaanza jana au juzi, aliupenda mchezo huo akiwa kinda.
Kazimoto yupo kwneye rekodi ya kati ya Watanzania waliowahi kucheza soka la kulipwa nje ya nchi.
Hii picha Kazimoto akikabidhiwa tuzo ya michezo na Kotecha mkoani Mwanza mwaka 2000 inaonyesha kweli hawana ni wanamichezo hasa.
Hongera kwao na wanaweza kuwa mfano.
0 COMMENTS:
Post a Comment