Novak Jokovic ameendeleza ubabe wake kwa Andy Murray wa Uingereza kwa kumshinda na kubeba taji maarufu la mchezo wa tenisi la Australian Open.
Katika mechi hiyo ya fainali iliyopigwa mjini Melbourne, Australia, ushindani ulikuwa mkali na kupelekea mechi hiyo kwisha kwa saw mvili na dakika 53.
Jokovic aria wa Australia ameibuka na ushindi wa seri 6-1, 7-5 na 7-6 akiwa ameshinda zone taut lakini mbili za mwisho, ikiwa ni kwa mbinde.
WALIOCHUKUA MARA NYINGI UBINGWA WA AUSTRALIA
17 - Roger Federer
14 - Rafael Nadal, Pete Sampras
12 - Roy Emerson
11 - Bjorn Borg, Rod Laver, Novak Djokovic
0 COMMENTS:
Post a Comment