January 26, 2016


 Serena Williams ametinga nusu fainali ya michuano ya Australian Open kwa kumtwanga mpinzani wake mkubwa Maria Sharapova.

Serena raia wa Marekani amemshinda kwa ulaini Sharapova huku akimfunga kwa seti mbili mfululizo za pointi 6-4, 6-1 na kumpeperusha nje ya michuano hiyo.

Ilionekana lilikuwa pambano lahisi kwake baada ya kuibuka na ushindi huo ndani ya saa moja na dakika 32 tu.

Hata hivyo, Serena na Sharapova walilalamika hali ya hewa kuwa ya joto kupindukia katika jiji la Melbourne.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic