![]() |
| UGANDO KAZINI.... |
Simba iko Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuwakaribisha African Sports na Kocha Jackson Mayanja ametoa nafasi kwa kinda Haji Ugando aanze.
Kinda huyo mwenye uwezo unaoridhisha na anahitaji nafasi ya kucheza aendelee kucheza vizuri, atakuwa akiongoza mashambulizi kwa msaada wa mkongwe Hamisi Kiiza na kinda mwingine Ibrahim Ajib.
Kikosi hiki hapa....
1. Vicent Angban
2. Hassan Kessy
3. Abdi Banda
4. Juuko Murshid
5. Hassan Isihaka
6. Justice Majabvi
7. Mwinyi kazimoto
8. Jonas Mkude
9. Haji Ugando
10. Ibrahim Ajib
11. Hamis Kizza
Kikosi cha akiba ni
1. Peter Manyika
2. Emery Nimubona
3. Novalty Lufunga
4. Said Ndemla
5. Awadh Juma
6. Mussa Mgosi
7. Brian Majwega








0 COMMENTS:
Post a Comment