Mshambuliaji Danny Welbeck amerejea kazini Arsenal na tayari ameungana na wenzake.
Welbeck ameungana na wachezaji wengine wa Arsenal mazoezini baada ya kukaa nje kwa miezi tisa kutokana na kusumbuliwa na goti.
Mshambuliaji huyo wa zamani wa Man United, alionekana ni mwenye furaha ingawa anahitaji siku kadhaa, ili kuweza kucheza katika kiwango chake sahihi.
















0 COMMENTS:
Post a Comment