January 22, 2016

KARIBU; KOCHA MSAIDIZI WA YANGA, JUMA MWAMBUSI AKIMKARIBISHA NIYONZIMA...
Kiungo nyota wa Yanga, Haruna Niyonzoma amerejea kundini leo na kupokelewa kwa shangwe kubwa na wachezaji wenzake akiwemo Kocha Msaidizi, Juma Mwambusi.

Mwambusi alimpokea Niyonzima kwa furaha na kumkumbatia kabla ya kupata muda mchache wa kuzungumza naye.

Kabla ya leo, Niyonzima alikuwa amesimamishwa na uongozi wa Yanga kwa muda usiojulikana kutokana utovu wa nidhamu. Lakini umakini wa kamati ya utendaji, ulichangia kurudishwa kwake baada ya kuomba radhi baada ya kubainika kuondolewa kwake hakukuwa sahihi.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic