January 28, 2016

HAPA NI AMSTERDAM


Mbwana Samatta ameondoka jijini Dar es Salaam, jana usiku. Akipitia Amsterdarm nchini Uholanzi akiwa njiani kwenda Ubelgiji ambako rasmi atajiunga na Genk ambayo ataichezea.

Kulikuwa na mvutano kati ya Genk na TP Mazembe, timu aliyopata nafasi ya kuonyesha uwezi wake kimataifa. Lakini sasa mambo yanaonekana, yamekwiva.
HAPA NI DAR ES SALAAM...
Picha hizo, moja alipiga akiwa jijini Dar es Salaam, dakika chache kabla ya kuruka kwenda Amsterdam na pili akiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Schiphol akisubiri ndege yake ya mwisho takribani saa moja tu hadi Brussels.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic