January 26, 2016



Yanga ambayo imetangaza safari ya kwenda Afrika Kusini imeendelea kujifua kwenye Uwanja wa Boko Veterani jijini Dar es Salaam.

Yanga imefanya mazoezi makali chini ya Kocha, Hans van der Pluijm hali inayoonyesha iko katika maandalizi ya kambi yake ya Afrika Kusini.

Wachezaji walikimbia kuzunguka uwanja. Walikuwa wakichuana vikali kabla ya baadaye kufanya mazoezi ya kucheza kitimu.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic