January 30, 2016

JAMES
Kocha Mkuu wa Real Madrid, Zinedine Zidane anaamini mchezaji wake James Rodrigues ana nafasi ya kufanya vizuri zaidi.

Zidane maarufu kama Zizou ameliambia gazeti la AS kuwa James ni kati ya wa wacheaji bora, lakini anahitaji kutengenezwa zaidi.

Taarifa za ndani zinaeleza, katika siku za hivi karibuni, Zidane amekuwa akimpa mchezaji huyo mazoezi ya ziada.


Raia huyo wa Colombia, hajapata nafasi ya kutosha katika kikosi cha Real Madrid, hasa baada ya Zidane kupewa jukumu la kocha mkuu baada ya Rafa Benitez kutimuliwa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic