January 30, 2016


Real Madrid kweli wanajua biashara na hawataki mchezo linapofika suala hilo.

Mara moja, tayari wameirudisha sokoni jezi ya gwiji, Zinedine Zidane 'Zizou' ambaye sasa ni kocha mkuu wa kikosi chao.

Jezi yake namba 5, ilikuwa maarufu kutokana na ubora wake wakati akiichezea Madrid.


Safari hii wameirudisha jezi hiyo sokoni kwa kuwa tokea aichukue Madrid, amerejesha matumaini kutokana na mwendo mzuri.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic