February 7, 2016

NAHODHA WA AZAM FC, JOHN BOCCO AKIMPONGEZA KIPRE TCHETCHE BAADA YA KUFUNGA BAO PEKEE LA MCHEZO HUO.
Azam FC imerejea Ligi Kuu Bara kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mwadui FC.

Mechi hiyo imepigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam na Kipre Tchetche katika dakika ya 19.

Ushindi huo unaifanya Azam FC kufikisha pointi 42 sawa na Simba huku Yanga ikiwa na pointi 43 kileleni.


MATOKEO MENGINE:
Februari 7, 2016
Azam 1-0 Mwadui Azam Complex
Tchetche 19


Kagera 0-1 Simba Kambarage
Ajib 45

Mbeya 0-0 Prisons Sokoine

JKT Ruvu 0-4 Yanga Taifa
Msuva 12
Boubakar 43
Ngoma 63
Msuva 90

Ndanda 1-1 Mtibwa Nangwanda 
Bryson 83 Mohammed Ibrahim 30

Toto 2-1 Coastal Kirumba
Jamal Mtengeta 31 Hamad Juma 51
Edo Cristopher 75

Majimaji 1-0 Mgambo Majimaji
Mrwanda 36




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic