February 18, 2016



Real Madrid imeitwanga AS Roma kwa mabao 2-0 katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, jana.

Roma walikuwa nyumbani, lakini wakashindwa kuizuia Real Madrid kupachika mabao hayo mawili katika kipindi cha pili.


Cristiano Ronaldo na James Rodriguez ndiyo waliopachika mabao hayo na kuwafanya wachezaji wa Madrid na makocha wao wawe na furaha tele wakati wakiwa kwenye ndege wakirejea nyumbani.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic