Zlatan Ibrahimovich ameondoka na jezi mbili za wachezaji wa Chelsea, William na Pedro Rodriguez.
Chelsea ilikuwa mgeni wa PSG ilipolala kwa mabao 2-1 katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Zlatan akifunga moja.
Baada ya nechi, Zlatab akabadilishana na Pedro ambaye walicheza pamoja Barcelona, lakini baadaye, William naye kampa jezi yake.
Huenda walikubaliana kubadilishana na William, lakini Pedro akatokea katikati, ndipo William akaamua kumuachia Zlatan jezi na kuondoka zake.








0 COMMENTS:
Post a Comment