February 17, 2016



Mara nyingi wachezaji wengi wa Tanzania, wamekuwa wakifurahia kununua magari wanapoingia mkataba mnono na klabu kubwa kama Yanga, Simba au Azam FC.

Lakini mshambuliaji hatari wa Leicester City ya England, Jamie Vardy ameonyesha hilo si Bongo tu, kwani amenunua gari jipwa, siku chache tu baada ya kuingia mkataba mpya wa miaka mitatu na nusu na klabu yake hiyo.


Gari hilo aina ya Bentley Continental thamani yake ni pauni 168,000 na mshambuliaji huyo anayeingoza kwa mabao ya kufunga Ligi Kuu England sass akiwa anapokea pauni 75,000 kwa wiki.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic