February 21, 2016

NAFTALI

Beki wa zamani wa Simba, David Naftali aliandika mtandaoni akionyesha heshima na kumtakia kila la kheri mshambuliaji wa zamani wa Yanja, John Baraza.

Baraza raia wa Kenya amestaafu soka, alikuwa gwiji na alimaliza akiwa na Sofapaka. Mwisho Naftali ambaye sasa anakipiga katika kikosi cha “Wakusanya Kodi wa Kenya”, KRA  aliona ni vizuri kuandika maneno hayo ya heshima na kumtakia kila la kheri. Yasome.

BARAZA

"Heshima kubwa sana kwako kaka,Hakika umekuwa somo kwa vijana wa kileo,nidhamu yako ndani ya uwanja na nje ya uwanja vimekufanya kila mtu akupe heshima,Mungu akubariki katika maisha yako mapya baada ya kustaafu Soka, God bless you."


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic