February 21, 2016



Alessandro Del Piero (mbele),  (kutoka kushoto) Gianluca Zambrotta, Deco, Cafu, Landon Donovan, Andriy Shevchenko, Jared Borgetti, Ronald De Boer, Paolo Maldini, Paul Scholes, Robert Pires, Luis Figo, Steve McManaman, Robbie Fowler, Christian Karembu, Oswaldo Sanchez, Freddie Ljungberg, Patrik Berger, Jerzy Dudek na Christian Vieri

Kikosi kinachoongozwa na London Donovan kimeichapa timu inayoongozwa na Luis Figo kwa mabao 8-5 na kubeba Kombe la Wakongwe Duniani.

Mechi hiyo ilipigwa jijini Las Vegas nchini Marekani na kuwakutanisha nyota kibao wa soka duniani kutoka katika nchi mbalimbali za Ulaya.

TEAM Donovan XI: Dudek, Zambrotta, Materazzi, Maldini, Ljunberg, Smicer, Berger, Seedorf, Donovan (c), Pires, Shevchenko, Yorke, Vieri
TEAM Figo XI: Oswaldo, De Boer, Karembeu, Salgado, Cafu, Deco, Scholes, McManaman, Figo (c), Del Piero, Kluivert, Fowler, Borgetti






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic