February 10, 2016


Beki mkongwe wa kushoto kutoka England, Ashley Cole rasmi ameanza kuichezea timu take mpya ya LA Galaxy ya Marekani.

Cole aliyewahi kukipiga Arsenal na Chelsea, ameichezea LA Galaxy katika mechi ya kirafiki wakati ikiivaa timu ya Tijuana ya Mexico na mechi ikamalizika kwa safe ya bila boa jijini Los Angeles.

Beki huyo alionyesha kuwa na pumzi, kasi utafikiri kijana na kwua kivutio hadj alipotolewa katika dakika ya 58.


MECHI ALIZOCHEZA:
Arsenal   mechi  228(Mabao 9)
Crystal Palace (mkopo) 14 (1)
Chelsea  339 (7)
Roma 16 (0)
England 107 (0)


MAKOMBE: 
Premier League: 2002, 2004, 2010
FA Cup: 2002, 2003, 2005, 2007, 2009, 2010, 2012
Champions League 2012
Europa League: 2013 



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic