HIVI NDIVYO VARDY ALIVYOACHIA KOMBORA KUIMALIZA LIVERPOOL JAMIE VARDY NI HATARI AISEE, AMEPIGA MABAO YOTE MAWILI WAKATI LEICESTER CITY IKIILAZA LIVERPOOL KWA MABAO 2-0. NJE YA YADI 30, HALAFU AKAACHIA KOMBORA LENYE KASI YA MAILI 56 KWA SAA, SI MCHEZO.
0 COMMENTS:
Post a Comment