Baada ya beki kinda Abdi Banda kujitangaza mtandaoni kuwa ni mgonjwa na atakaa nje kwa miezi miwili, leo Kocha Jackson Mayanja amempanga kuongoza kikosi chake kinachoivaa Yanga akimkabidhi kuongoza safu ya ulinzi.
Banda ataongoza safu ya ulinzi akicheza namba tano huku nahodha wa Simba, Hassan Isihaka akiwa jukwaani kabisa.
Kiungo Said Ndemla naye kwa mara ya pili chini ya Mayanja anaanza akiwa namba 11, atakayokuwa akivunja na kurudi ndani kujaza viungo.
1. Vicent Agbani
2. Hassan Kessy
3. Mohammed Hussein ‘Tshabalala’
4. Juuko Murshid
5. Abdi Bhanda
6. Justuce Majabvi
7. Mwinyi Kazimoto
8. Jonas Mkude
9. Hamisi Kiiza
10. Ibrahim Ajibu
11. Said Ndemla
SUB:
Peter Manyika
Emry Nimubona
Lufungo
Awadh Juma
Dani Lyanga
Mussa Mgosi
Brian Majwega







0 COMMENTS:
Post a Comment