February 18, 2016




Manchester United leo ipo genii katika mechi ya Europa Cup dhidi ya FC Midtjylland ya Denmark.

Lakini kumbuka in a pogo la kumkosa nahodha wake, Wayne Rooney aliyeumia goti. Sasa kazi kwa mshambuliaji kinda, Anthony Martral ambaye ndiye ataongoza mashambulizi.

Martial kutoka Ufaransa, leo atakuwa na kazi ya kumuonyesha Kocha Louis van Gaal kwamba, ana uwezo wa kuiongoza safu hiyo na kufanya kweli.

REKODI ZA MARTIAL:
Lyon 2012-13             4 games (0 goals)
Monaco 2013-15        58 games (14 goals)
Manchester United     31 games (10 goals)




DAILY MAIL

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic