![]() |
| MOSHA AKIWA OFISINI KWAKE SINZA JIJINI DAR ES SALAAM... |
Makamu Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Davis Mosha amesema kuwa Yanga in a kikosi bora na inaweza kuifunga Simba, lakini haiwezi kuwa rahisi.
Mosha ambaye ni mmoja wa vijana wenye mafanikio makubwa kibiashara, amesema haitakuwa rahisi kuiangusha Simba kama Wanayanga hawataungana na kuwa kitu kimoja.
“Kawaida tumekuwa tukiungana na kuwa kitu kimoja katika kipindi hiki kigumu ambacho kinajumuisha mambo mengi sana likiwemo suala la hujuma.
“Lazima Wanayanga waungane na kuwa kitu kimoja. Mimi siendi uwanjani siku hizi, lakini najua Simba nao wana timu nzuri,” alisema Mosha.
KESHO USIKOSE MAKALA YA MOSHA KATIKA www.salehjembe.blogspot.com








0 COMMENTS:
Post a Comment