Wakati Man United wakiendelea kuhaha kutokana na matokeo mabaya, kiungo wao Memphis Depay ameendelea kula bata na mpenzi wake Lori Harvey.
Depay ameonekana mtaani akiwa na gari lake la kifahari aina ya Rolls Royce ambalo thamani yake ni pauni 250,000.
Baadhi ya mashabiki wa Man United wamekuwa wakilalama kwamba Depay haonyeshi kuwa anaumizwa na kusuasua kwa Man United huku yeye akishindwa kuonyesha kama ni msaada.










0 COMMENTS:
Post a Comment