February 2, 2016


Kocha Pep Guardiola ameanza kazi mapemaa ndani ya kikosi cha Manchester City baada ya kutaka ianze “kuvunja benki” mapema.


Guardiola ambaye amejiunga na City na anatarajia kuanza kazi wakati wa kipindi cha majira ya koto, ametaka City ifanye inavyoweza kumnasa kiungo Paulg Pogba wa Juventus.

Pogba anatakiwa kwa kitita cha pauni milioni 80 na anawaniwa na timu vigogo kama Real Madrid, Chelsea na Barcelona.
STONE (KULIA)
Pamoja na Pogba pia Guardiola ameitaka City kuhakikisha inamnasa beki wa Everton, John Stones hata kwa kutoa hani pauni milioni 50 kumnasa.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic